MKESHA MKESHA MKUUUBWA WA KUSIFU KUABUDU NA KUOMBA

kanisa LA FPCT SEGEREA  linawakaribisha katika mkesha mkuuubwa wa kuomba, kusifu na kuabudu
Utakao fanyika kanisani hapo ni ijumaa ya TAREHE 26 OCTOBER 2018
kuanzia saa 3:00 Usiku hadi saa10:00 Alfajiri 
Wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa kwa jina la Yesu
Usipange kukosa hii maana haijawai tokea kuna waimbaji wengi sana na kwaya na praise Team yakutosha
na ukija uje na mwenzio 
Kwa maelezo zaidi mawasiliano yapo hapo chini 



Maoni